Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamie Foxx aingia kwenye msala wa ubakaji

Jamie Foxxxxxx Jamie Foxx

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika, amemfungulia mashtaka Mwigizaji Jamie Foxx akimtuhumu kwa kutaka kumbaka na kumfanyia vitendo vya unyanyasaji wa kingono.

Kwa mujibu wa TMZ ambao wamelinasa shauri hilo, mwanamke huyo alikutana na Foxx mjini New York mwaka 2015.

Baada ya kumtambua kuwa ni Jamie Foxx, mwanamke huyo aliomba kupiga naye picha.

Punde baada ya kumaliza tu, mambo yalianza kwenda tofauti ambapo mwanamke huyo anadai Foxx alianza kumshika kifuani na sehemu za siri bila ridhaa yake huku akimtamkia maneno ya mahaba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live