Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Jamaa ampiga Chini Binti wa Bill Gates

Robert Ross Phoebe Gates 1280px T Robert Ross ambaye ni Mjasiriamali wa Teknolojia, ameachana na Phoebe Gates

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Robert Ross ambaye ni Mjasiriamali wa Teknolojia, ameachana na Phoebe Gates ambaye ni mtoto wa tajiri namba 9 duniani, Bill Gates. Phoebe (21) ambaye anatajwa kuwa mrithi wa utajiri wa ($100+ Billion) wa Baba yake, alianika wazi kuwa penzini na Robert, mwaka 2022.

Robert Ross ambaye ni Mjasiriamali wa Teknolojia, ameachana na Phoebe Gates ambaye ni mtoto wa tajiri namba 9 duniani, Bill Gates. Phoebe (21) ambaye anatajwa kuwa mrithi wa utajiri wa ($100+ Billion) wa Baba yake, alianika wazi kuwa penzini na Robert, mwaka 2022. Kitendo chake cha kuanika mahusiano yake, kiliibua hisia hasi machoni mwa watu ambao walianza kutengeneza ‘memes’ za kumdhihaki na kumbagua Richard kutokana na rangi yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live