Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Jamaa afunga ndoa na wake wawili siku moja

Operanews1672900137478 Jamaa afunga ndoa na wake wawili siku moja

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja raia wa Nigeria aliyetambulika kwa jina la Nkanu, amefunga pingu za maisha na wanawake wawili siku moja katika jimbo la Cross River.

Nkanu aliwaoa Mary na Jennet siku moja katika sherehe ya harusi iliyofanyika Jumamosi, Disemba 31, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Bazohure.

Picha za harusi hiyo ya kufana zilipakiwa kwenye mitandao ya kijamii na kuwachangamsha wengi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live