Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jaketi la Michael Jackson lauzwa kwa Mil. 766

Jaketi La Michael Jackson Lauzwa Kwa Mil. 766 Jaketi la Michael Jackson lauzwa kwa Mil. 766

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jacket la ngozi la Marehemu Michael Jackson lenye rangi nyeupe na nyeusi alilolivaa katika Tangazo la kinywaji miaka ya 1980 limenunuliwa kwa Dola 306,000 zaidi ya Sh.Milioni 766 huko London.

Jacket la ngozi la Marehemu Michael Jackson lenye rangi nyeupe na nyeusi alilolivaa katika Tangazo la kinywaji miaka ya 1980 limenunuliwa kwa Dola 306,000 zaidi ya Sh.Milioni 766 huko London. Jaketi hilo alilivaa Michael Jackson mwaka 1984 alipokuwa akishuti tangazo la Pepsi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live