Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jaguar: Diamond na Kiba walikuwa wananionea wivu

Jaguar: Diamond Na Kiba Walikuwa Wananionea Wivu Jaguar: Diamond na Kiba walikuwa wananionea wivu

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanasiasa na Staa wa Muziki kutoka Nchini Kenya Jaguar amefunguka kuwa kipindi anafanya muziki kwa ukaribu zaidi alikuwa mkubwa kuliko mastaa wa Tz Diamond Platnumz na Alikiba na wengine na alikuwa akilipwa pesa nyingi mpaka wakamuwekea chuki na wivu.

Mwanasiasa na Staa wa Muziki kutoka Nchini Kenya Jaguar amefunguka kuwa kipindi anafanya muziki kwa ukaribu zaidi alikuwa mkubwa kuliko mastaa wa Tz Diamond Platnumz na Alikiba na wengine na alikuwa akilipwa pesa nyingi mpaka wakamuwekea chuki na wivu. "Kipindi nipo Serious na Music nikifanya Kigeugeu nafasi niliyokuwa napewa nafasi kutoka kwao nilikuwa mkubwa kuliko Diamond na Alikiba na nilikuwa nalipwa zaidi yao wakawa wananionea wivu na chuki ilikuwa hata nikienda Rwanda walikuwa wanafanya mkutano na Waandishi Habari wakilalamika kwa nini napewa pesa nyingi kuliko wao."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live