Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jada akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na marehemu Tupac

Jada Akanusha Kuwahi Kuwa Na Uhusiano Na Marehemu Tupac Jada akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na marehemu Tupac

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya aliyekuwa mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith kumtaja marehemu Tupac Shakur kama kipenzi cha roho yake lakini alidai kuwa yeye na Tupac hawakuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Licha ya aliyekuwa mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith kumtaja marehemu Tupac Shakur kama kipenzi cha roho yake lakini alidai kuwa yeye na Tupac hawakuwa na mahusiano ya kimapenzi. Aalisema hawakuwa na mahusiano ya kimapenzi kama wengi walivyozania kwa sababu hawakuendana hivyo walikuwa ni marafiki walioshibana tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live