Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jada Smith: Lile lilikuwa kofi takatifu

Will Smith Jada Pinkett Smith Chris Rock Jada Smith: Lile lilikuwa kofi takatifu

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamama Jada Pinkett Smith amesema, lile Kofi alilopigwa Chris Rock na mwigizaji Will Smith kwenye Tuzo za Oscars mwaka 2022, lilinusuru ndoa yake hivyo amelipa jina la “Kofi Takatifu” kwa sababu mambo mengi yalikaa sawa kwenye ndoa yake na Will Smith baada ya tukio lile.

Mwanamama Jada Pinkett Smith amesema, lile Kofi alilopigwa Chris Rock na mwigizaji Will Smith kwenye Tuzo za Oscars mwaka 2022, lilinusuru ndoa yake hivyo amelipa jina la “Kofi Takatifu” kwa sababu mambo mengi yalikaa sawa kwenye ndoa yake na Will Smith baada ya tukio lile. Tukio hilo lilimletea hali ngumu Will Smith kiasi cha kupoteza kampuni kadhaa zilizokuwa zikfanya nae kazi lakini Chriss Rock hakuchukua hatua za kisheria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live