Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jacqueline Wolper katika video moja na mume wake mtarajiwa

1632 26153561 200988790451691 5148770338762391552 N E1516447058604

Sat, 20 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Ni wiki kadhaa zimepita tangu Jacqueline Wolper aweke wazi mipango ya kuolewa na kumtambulisha kijana ‘Engine’ ambaye alidai ameshamtambulisha hadi nyumbani kwao hivyo ndoa ni muda wowote.



Wakati watu wakisubiria  ndoa kati ya wawili hao, hatimaye Engine ambaye pia ni msanii ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Ulingo’ ambayo katika video hiyo ndani yupo Jacqueline Wolper. Itazame hapa.

Chanzo: bongo5.com