Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jacqueline Wolper alizwa kwa mara nyingine tena

3808 27573972 333281327183535 3502823551063293952 N TZW

Tue, 27 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper ametoa kilio chake kwa makampuni ya simu za mikononi nchini.



Wolper ametoa kilio hicho kwa kitendo kinachofanywa na baadhi ya watu kusajili laini kwa kutumia jina lake( na majina mengine ambayo sio yao) na kufanya utapeli kwa watu.

Mrembo huyo amebaisha hayo kupitia matandao wa kijamii wa Instagram ambao kunaonyesha mtu anayetumia jina lake alipokea muamala wa pesa kitu ambacho yeye hajakipokea.

Unajisikiaje Mimi napambana kujitafutia ugali wangu wewe unatoka ulipotoka unaibia wateja wangu bila kutumia nguvu???kiukweli nyie makampuni ya cm mnatuangusha sana bora ata ingekua m2 mwingne sasa mteja anatuma pesa anakuta jina jack wolper atacha kutuma??sasa nataka kujua wewe unaesajili jina langu jakwolper inamaana unijui??au nyie wenyewe kumanina zenu mbwaa nyie ndio wezi wakubwa…sasa nasikitika kusema kwamba nyie watu wa cm wenye makampuni yenu ndio wezi wakubwa vibaka wa wazii kama siyo nyie angalieni waaajiri wenu mbuzi kagoma kwenda nyie mambo gani yakisenge haya mtu anakuja kusajili jakwolper mnamsajilia faken wahed kabisa yani nawachukia natamani ata hzoo njia zakutuma pesa kupitia cm zife kabisa msituarbie biashara sisi mambo gani haya…

A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on



Mnao mwaka jana mtu aliyekuwa akijiita Jackline Wolper alijikuta akipokea kichapo kutoka kwa msanii huyo baada ya kutaka kutapele mtu wa karibu na msanii huyo.
Chanzo: bongo5.com