Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jacqueline Wolper afunguka kurudiana na Harmonize, ‘yule ni njiwa wangu’

542 17334152 104175813437567 6658133116294529024 N TZW

Fri, 22 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka taarifa za kurudiana na Harmonize.

Kauli hiyo inakuraja mara baada ya Wolper kumjibu shabiki mmoja katika mtandao kuwa anaweza kumpata Harmonize kwa wakati wowote.

“Kwanini nimejiaminisha? Sasa yule si njiwa wangu kabisa au hamjui Harmonize njiwa wangu,” amesema.

Hata hivyo amesema kuwa kauli hiyo aliitoa kutokana mtu huyo alimkera hivyo akaamua kutoa neno la kumuumiza pia.

Chanzo: bongo5.com