Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JB, Sarafina wabeba Tuzo Marekani

Phina X JB JB, Sarafina wabeba Tuzo Marekani

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji nguli wa Filamu Bw. Jacob Stephen (JB) na Msanii wa Muziki Bi. Saraphina (Phina) wamefanikiwa kushinda Tuzo za Hollywood and African Prestigious (HAPAWARDS) za Hollywood, Marekani.

Tuzo zao zimepokelewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana

Serikali kupitia Taasisi za Bodi ya Filamu na BASATA inawapongeza wasanii hawa kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live