Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

J.Lo aahirisha ziara yake, Mashabiki warudushiwa Pesa zao

J.Lopez J.Lo aahirisha ziara yake, Mashabiki warudushiwa Pesa zao

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa maigizo na muziki Jennifer Lopez kutoka Marekani ameamua kuahirisha ziara yake ya kimuziki iliyotakiwa kufanyika tarehe 26 June 2024 huko Orlando.

Nyota huyu amefikia maamuzi hayo ili apate muda wa kukaa na familia yake na watu wa karibu ikiwemo watoto, ndugu na marafiki.

“Nimehuzunika sana, nimehuzunishwa sana na kuwakatisha tamaa, tafadhali fahamu kwamba nisingefanya hivi ikiwa nisingehisi kwamba ilikuwa muhimu kabisa. Ninawaahidi kuwa tutakuwa pamoja tena. Ninawapenda sana nyote, mpaka wakati ujao...” ~ Jennifer Lopez.

Mashabiki wote waliokata tiketi za show hio watarudishiwa pesa zao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live