Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

J Cole aomba radhi kwa kumdiss Kendrick Lamar

Cole Kendrick Lamar J Cole aomba radhi kwa kumdiss Kendrick Lamar

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa na Producer #JCole ameomba radhi mbele ya mashabiki zake kupitia tamasha lake la ‘Dreamville Fest’ kwa kujibu disstrack ya #KendrickLamar kupitia ngoma yake ya “7 Minute Drill” inayopatikana kwenye Album yake mpya ya Might Delete Later.

J Cole amekiri kuwa kurekodi wimbo wa kumdiss Kendrick Lamar ni jambo baya zaidi kuwahi kulifanya katika maisha yake na ngoma hiyo ataitoa kwenye Platform zote za kustream muziki.

Bifu la wawili hao limeibuka baada ya Kendrick Lamar kumdiss J Cole na Drake kwenye ngoma ya ‘I like that’ collabo aliyofanya na Future, Metro Boomin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live