Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Izzo bizness awachana wasanii wenzake

Izzo B Izzo Bizness

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop kutokea pande za Green City Izo Bisness amewachana wasanii wenye tabia ya kutuma Link za nyimbo zao mara kwa mara ili kuomba sapoti.

Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Izo ameandika;

"Skia Artist Mwenzangu Hiyo Link Yako Ya Wimbo Mpya Itume Mara Moja Tu Kwenye Hiyo List Ya Watu Wako Wa WhatsApp Sio Kila Baada Ya Dakika Kumi Unatuma Same Link. Mtu Akishaipokea Mara Moja Kama anahitaji Kukusupport Ataifungua Na Kushare Kwa Watu Wake Pasipo Hata Kumlazimisha".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live