Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Izzo Bizness atupa dongo gizani ishu ya Jay Z kuwachana Grammy

Izzo Bizness Atupa Dongo Gizani Ishu Ya Jay Z Kuwachana Grammy Izzo Bizness atupa dongo gizani ishu ya Jay Z kuwachana Grammy

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Rapa Jay Z kuwachana Grammy kwa kutowahi kumpa Beyonce Tuzo Kubwa Ya "Album Of The Year" (Album Bora Ya Mwaka) licha ya kuwa msanii anayeongoza kuwa na tuzo nyingi za Grammy.

Rapa kutoka Tz Izzo Buzness ameshare ujumbe kwenye page yake ya X ameandika...

"Shombo liyotema Mkubwa Jay-Z Mfano Ndiyo Angeitema Msanii Wa Bongo Kuanzia Kesho Angeanza Kupoteza Usikivu Kwenye Vyombo Mbali Mbali Lakini Dili Za Show Ndiyo Zingekata Mazima."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live