Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Iyanya athibitisha kufungasha virago Mavini Records

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya amethibitisha kutokuwa tena chini ya lebo ya Mavin Records inayosimamiwa na Don Jazzy.



Akiongea na kituo cha radio cha Beat FM, msanii huyo ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tena katika lebo hiyo na hakuna mgogoro uliopo kati yake na Don Jazzy.

“I’m now signed to Temple Music but I’m a Mavin for life. It was not a beef. I was there and it was time to move on,” ameeleza Iyanya.

Kwa sasa msanii huyo anatamba na ngoma yake mpya iitwayo Good vibe aliyowashirikisha Team Salut kutokea Uingereza.

Chanzo: bongo5.com