Menu ›
Burudani
Fri, 21 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwanafizikia na mwanahisabati maarufu, Sir Isaac Newton alitabiri kwamba ulimwengu ungefikia mwisho mwaka wa 2060, kulingana na hati iliyogunduliwa hivi karibuni iliyoandikwa mnamo mwaka 1704.
Maandishi yake hayo yamelenga mambo saba yanayoonyesha kama sababu ya dunia kufikia mwisho 2060, ikiwa ni pamoja na uwepo wa matukio fulani ya kinabii na urefu wa vipindi mbalimbali vya wakati vinavyotajwa katika Biblia.
Aliamini kwamba mwisho wa dunia ungetokea miaka ya 2060 baada ya kuanzishwa kwa Dola Takatifu ya Kirumi mwaka 800 AD, ndivyo alivyofikia hisabu zake mwaka wa 2060.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live