Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Issa Azam afunguka sababu lebo nyingi kukimbiwa wasanii

Issa Azam Diamond Issa Azam afunguka sababu lebo nyingi kukimbiwa wasanii

Sat, 26 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa maarufu wa Diamond Platnumz, Issa Azam ameitaja sababu ya lebo nyingi kushindwa kukaa na wasanii kuwa ni fedha.

Azam alitoa kauli hiyo hivi karibuni baada ya kuulizwa mtazamo wake juu baadhi ya lebo kukimbiwa na wasanii kulinganisha na Wasafi Classic Baby (WCB) ndipo alipopigilia msumali huo wamoto.

"Hakuna kupepesa maneno, hawana hela. Ukishakuwa huna hela na haina ubunifu na una roho mbaya hata uanzishe nini hakiwezi kwenda. Umeona Wasafi hapa, siti hii tumeagiza Dubai na ndege...tuna hela," alisema Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live