Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Israel yachukizwa na kauli ya Elon Musk

Elon Musk Awashauri Wikipedia Wabadilishe Jina Elon Musk

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taifa la Israel limekasirishwa na kauli ya mfanyabiashara #ElonMusk kusaidia Gaza kurudisha mawasiliano, ni baada ya hivi karibuni mmliki huyo wa mtandao wa X kutoa ahadi ya kupeleka mawasiliano huko Gaza.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari inaelezwa kuwa bado Elon ameonekana kudhamiria kwa dhati kuisaidia Gaza kurudisha mawasiliano kama zamani ambapo kwasasa nchi hiyo kama imetengwa kimawasiliano baada ya kuendelea kwa vita dhidi ya Israel.

‘Bosi’ huyo wa teknolojia alitangaza kuwa atakopesha huduma zake za ‘satelaiti ya Starlink’ kwa watu wa Gaza ambayo itatoa ufikiaji wa mtandao wakati wa kukatika kwa umeme katika eneo hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live