Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’

8744 33683829 256387178245512 2175444791335059456 N 1 TZW

Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo wa kiume.



Zari amesema lakini jamii haishangai pindi mwanamke mdogo anapokuwa na mahusiano na mtu mzima zaidi. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika;

Sitting here and thinking. Society is so quick to judge an older woman dating a young guy, but not a 40+ guy dating a 19 yr old. so tyical! Watu na vibabu vyenu.

Utambuka Zari na Diamond wamewahi kuwa katika mahusiano na kujaliwa kupata watoto wawili na inafahamika Zari ni mkubwa kwa Diamond. Baada ya kuachana kwao hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinadai kuwa wamerudiana ila hakuna kati yao aliyethibitisha hilo.

Loading...
Chanzo: bongo5.com