Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ishu ya Rosa Ree kuchukuliwa na Rosa Ree ipo hivi

Rick Rossss Ishu ya Rosa Ree kuchukuliwa na Rosa Ree ipo hivi

Mon, 27 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rosa Ree; ni rapa mkali wa kike Bongo ambaye amefunguka kwa mara nyingine kuhusu ishu ya kusainiwa kwenye lebo ya rapa mkubwa wa Marekani, Rick Ross iitwayo Maybach Music Group.

“Mambo ni mazuri kwa sababu tunawasiliana, tunaongea na huwezi kujua yajayo yanaweza kuwa ni makubwa sana, sitaki kufichua chochote napenda mfahamu ni kitu gani kitakuwepo huko mbele pindi tutakapokuwa tayari, Bado tuna maongezi tukifikia Muafaka nitawajulisha” anasema Rosa Ree.

Mwaka jana Rick Ross au Madevu, akiwa kwenye ziara ya kimuziki barani Afrika aliweka wazi kuvutiwa na wasanii watatu barani humo na mmojawao akiwa ni Rosa Ree kutoka Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live