Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

SIL

Instagram wafanya maboresho mapya

44444 Instagram wafanya maboresho mapya

Fri, 22 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Mtandao wa Instagram umefanya maboresho mapya ambapo watumiaji watakuwa na uwezo wa ku-post, ku-upload video na picha katika akaunti zao za Instagram kwa kupitia tovuti/website ya Instagram. 

Mtandao wa Instagram umefanya maboresho mapya ambapo watumiaji watakuwa na uwezo wa ku-post, ku-upload video na picha katika akaunti zao za Instagram kwa kupitia tovuti/website ya Instagram.  Maboresho haya yatakuwa msaada mkubwa kwa watu wengi sana hasa kwa wanaosimamia akaunti za watu ambao wanatumia kompyuta katika shughuli mbalimbali na kupunguza matumizi ya simu, featurehii imeanza kutumika wiki hii kwa baadhi ya watumiaji na itaendelea kutoka taratibu kwa watumiaji wengine.  

Chanzo: eatv.tv