Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Imebainika: Lulu Diva ndiye aliyemkuwadia Whozu kwa Wema

LULU DIVA NA WHOZU Imebainika: Lulu Diva ndiye aliyemkuwadia Whozu kwa Wema

Fri, 24 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Whozu ameweka wazi kuwa, msanii Lulu Diva ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa yeye kuwa penzini na muigizaji Wema Sepetu.

Hilo limebainika kufuatia Whozu kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Lulu Diva kwa kumposti picha yake kwenye ukurasa wa Instagram na kusindikiza na ujumbe huu:

"Best friend, My blood,My own sema hapa kwenye jina hili la My own nilinyimwa vikali nikaambiwa ni la kwao wawili Divana na Chimama tu.. nikimaanisha safari ya kukubaliwaga na Chimama, Diva ndo alikuwa Captain Wangu mkuu hahah sasa nisiongee sana nikaaribu..!HAPPY BIRTHDAY familia yangu, ndugu yangu, dada angu mimi Mwenyezi Mungu akubariki Sana uzidi kufanikiwa, uzidi kupata zaidi na zaidi..God bless you Divana..."

Diva naye bila hiyana alimjibu kupitia komenti hii:

"Oooh My blood msiri wa ujinga wang Ndugu yang wa shida na raha ww ni Ndugu nakupenda na unajua Endelea kumpa Rafk yang furaha. Thankk u soo much Ubarikiwe Whozu unaroho nzur sana naweeee."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live