Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ilebaye ashinda Big Brother Naija – All Stars

Bella Sdsds Ilebaye ashinda Big Brother Naija – All Stars

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa nane wa shindano la runinga Big Brother Naija (BBN) akiwabwaga Mercy Eke, Cece, Adekunle, Pere na Cross waliokuwa wameingia katika fainali za shindano hilo.

Ilebaye ama ‘Gen Z Baye’ alitangazwa mshindi Jumapili Oktoba Mosi wakati wa fainali hizo za onyesho la uhalisia lililodumu kwa wiki 10 likihusisha vijana 24.

Msindi huyo atapokea mbali na zawadi nyingine kitita cha naira milioni 120 na gari kutoka Innoson watengenezaji wa magari nchini Nigeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live