Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Iko hivi, Mama wa Elon Musk ni mwanamitindo

5eb31701cdfd4814b8048885 660x400.webp Iko hivi, Mama wa Elon Musk ni mwanamitindo

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya mtoto wake kuwa tajiri namba 1 Duniani, haimzuii Maye Musk mama mzazi wa Elon Musk kuendelea na kazi ya mitindo akiwa na umri wa miaka 74.

Maye Musk amekuwa mwanamitindo mzee kuwahi kutokea katika jarida la ‘Sports Illustrated Swimsuit’ akichuana na Kim Kardashian na Ciara ambao pia wametokea katika jarida hilo kwa mwaka 2022.

Maye amefanya kazi hiyo kwa miaka 50 na hata kabla ya kumzaa Elon Musk, na alishawahi kutokea katika majarida makubwa kama Vogue.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live