Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Iggy Azalea aingiza milioni 716 ndani ya saa 24 tu

Attachment Iggy Azalea Onlyfans Iggy Azalea

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Iggy Azalea ameingiza kiasi cha ($307k) zaidi ya Tsh. Milioni 716 ndani ya saa 24 tangu ajiunge na mtandao wa OnlyFans.

Rapa Iggy Azalea ameingiza kiasi cha ($307k) zaidi ya Tsh. Milioni 716 ndani ya saa 24 tangu ajiunge na mtandao wa OnlyFans. Mtandao huo maarufu kwa sasa, unamuwezesha mtumiaji kulipia kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kuona "EXCLUSIVE CONTENT" kwa mtengeneza maudhui (Content creator) ikiwemo picha na video za utupu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live