Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idris amvaa Mkongo aliyefuta wimbo wa Diamond 'tutapiga madufu ya Enjoy'

IDRISSS Idris amvaa Mkongo aliyefuta wimbo wa Diamond 'tutapiga madufu ya Enjoy'

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutokea purukushani kuhusiana na mwimbaji kutoka nchini Congo kufuta wimbo ya #Enjoy, wa Jux aliyomshirikisaha Diamond, muigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Idris Sultan hajakalia kimya jambo hilo.

Kupitia #InstaStory yake ameandika,

“Huyo mkongo wa kufuta wimbo hata aje na club na kwenye mapari na harusini kuvunja ‘flashi’ ,‘diski’ tutapiga madufu ya #enjoy. akifumba macho tunaiba na account yake”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live