Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idris Sultan atangaza ujio wa tour yake ya vichekesho

3439 Screen Shot 2018 02 16 At 21.49.45.png TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Muigiza, mchekeshaji na mtangazaji wa Radio, Idris Sultan ametangaza ujio wa tour yake ya vichekesho iitayo ‘NOT FUNNY TOUR 2018’ itakayoanza mwezi wa nne mwaka huu.



Kupitia mtandao wa kijamii wa instagram, Idris ameweka bayana mikoa kama Dar Es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma na Zanzibar kuwa ndiyo itakayoweza kufanikiwa kuona tour hiyo ya vichekesho.



“Mda wetu wa kuvunja records in selling out tickets umefika

Chanzo: bongo5.com