Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idris Sultan ashindwa kuvumilia mafanikio waliyofikia wa Wakenya

1863 Screen Shot 2018 01 24 At 12.49.27 PM.png

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Idris Sultan ameonyesha kukerwa na baadhi ya Watanzania wanaopenda kupoteza muda mwingi katika mitandao ya kijamii kuliko kazi na kuuita ni “umbea” hii imekuja baada ya kuona mafanikio kutoka +254 Kenya baada ya movie ya “Watu Wote” kutajwa katika Tuzo za Oscar nchini Marekani na kutengeneza Satelite yao ya kwanza nchini humo.,





Kupitia ukurasa wa instagram wa Idris Sultan ameandika “Wacha wakutane Oscars na bank na conference kubwa duniani. Sisi tukutane zetu DM ?? .. Satellite zipo kinondoni #WachaTuburuzwe

Ulipitwa na hii???Hivi ndivyo Idris Sultan alivyomkumbuka EX wake

Chanzo: millardayo.com