Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idris Sultan amtaka Diamond atembee kwa magoti hadi Afrika Kusini

3425 Idris 660x400 TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kupitia ukurasa wa instagram wa Idris Sultan leo February 16,2018 ameandika caption ambayo inamtaka Diamond atembee kwa magoti hadi Afrika Kusini hii ni baada ya kunukuu maneno ambayo Diamond Platnumz aliyasema kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm

Hii ni baada ya Zari kutangaza rasmi kuachana na Diamond Platnumz kupitia instagram account yake siku ya Valentines Day .

“Wabongo wanafki sana, utasikia “Idris siku ile white party 2015 ndio alimchomea mwana alipomuambia Zari “Embu muone jamaa wako anavyokumbatia fans wake mi nakuambia hata hiyo mimba uliyobeba sio yako lazima ni ya demu mwingine, kakudanganya”

“By the way shem ninaanzisha kilimo cha black roses unataka shares ?” Mond naomba tupige yale magoti tuliahidi mpaka sauzi, unashindwaje kumganda wakati Mganda

Chanzo: millardayo.com