Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Idadi ya watoto anaotaka Vera Sidika

V1 Idadi ya watoto anaotaka Vera Sidika

Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka 254 Kenya mrembo na mfanyabiashara Vera Sidika ameweka wazi idadi ya watoto anaotaka kuwa nao kwenye maisha yake ambao ni watoto watatu au wanne.

Vera Sidika ameshea hilo kwenye Insta Story yake baada ya shabiki kumuuliza amepanga kupata watoto wangapi.

Pia ameeleza kwamba huenda mwishoni mwa mwaka huu 2022 akaongeza mtoto wa pili, kwa sasa ana mtoto mmoja wa kike aitwaye Asia Brown aliyempata na mpenzi wake Brown Mauzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live