Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ice Spice apewa Biblia na shabiki baada ya shoo

Ice Spice Ice Spice apewa Biblia na shabiki baada ya shoo

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Ice Spice amepewa kitabu cha dini ya Kikristo (bible) baada ya kumaliza show.

Ice ali-share ‘picha’ ya kitabu hicho kupitia Insta Story yake aliyoambatana na swali lililokuwa likieleza kwa nini shabiki aliamua kumpa biblia baada ya kumaliza show huku akimalizia na emoji ya kucheka.

Unadhani ni kwa nini shabiki aliamua kumpa msanii huyo biblia?

Ikumbukwe wiki chache zilizopita ‘rapa’ Ice alifanikiwa kutoa ngoma na msanii wa #Nigeria Rema, waliyoipa jina la ‘Pretty Girl’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live