Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibraah athibitisha ujio wa lebo

Ibraah 2 Ibraah athibitisha ujio wa lebo

Mon, 24 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii kutokea lebo ya Konde Music Worldwide (KMW) Ibraah (Chinga) amethibitisha kuja na lebo yake ya muziki siku za hivi karibuni kwa lengo la kuendelea kuwanyanyua wasanii wengine ambao wana uwezo ila hawajapata nafasi ya kutoka kimuziki.

Submitted by Telesphory on Jumatatu , 24th Mei , 2021 Msanii Ibraah

Msikilize alichokizungumza zaidi.

Chanzo: eatv.tv