Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibraah: Navaa saa so kwa ajili ya kuangalia muda

Ibraah: Navaa Saa So Kwa Ajili Ya Kuangalia Muda Ibraah: Navaa saa so kwa ajili ya kuangalia muda

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva @ibraah_tz anasema huwa anavaa Saa kama urembo tu na sio kwa ajili ya kuangalia Muda kama wengi wanavyofanya.

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva @ibraah_tz anasema huwa anavaa Saa kama urembo tu na sio kwa ajili ya kuangalia Muda kama wengi wanavyofanya. "Mimi navaa Saa kama Pambo tu na sio kwa ajili ya kuangalia muda japo kuwa navaa Saa mbili. Saa yangu moja haitembei kabisa Maana hata nilivyozinunua sikuziseti"-#Ibraah akihojiwa kwenye kipindi cha #XXL ya #CloudsFm.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live