Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibraah : Msichore jina langu kwenye mapaja yenu

IBRAAH MAPAJA Ibraah : Msichore jina langu kwenye mapaja yenu

Fri, 2 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki kutoka Kondegang, Ibraah amewaomba mashabiki zake wa kike wasichore Tattoo ya Jina lake kwenye mapaja yao kwani wataleta shida kwenye mahusiano yao.

Staa wa Muziki kutoka Kondegang, Ibraah amewaomba mashabiki zake wa kike wasichore Tattoo ya Jina lake kwenye mapaja yao kwani wataleta shida kwenye mahusiano yao. Ibraah ameandika ujumbe huo kwenye Insta Story yake na kusababisha apate maoni mengi na tofauti kwenye mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live