Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndiye mtunzi wa Wimbo wa Taifa "Mungu ibariki Afrika"

Enoch Sontonga Exhibition Enoch Sontonga

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa taifa wa Tanzania “Mungu ibariki Afrika” ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.

Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu Ibariki Afrika. Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika harakati za ukombozi kwa baadhi ya nchi za Afrika.

Maneno ya wimbo huo pia yanatumika kwenye nyimbo za taifa kwa nchi za Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe. Sontonga alizaliwa mwaka 1873 na kufariki 18/04/1905. Kila mtu hukumbukwa duniani kwa alama aliyoiacha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live