Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Huyu ndio ombaomba tajiri zaidi Duniani

Bharat Jain.jpeg Huyu ndio ombaomba tajiri zaidi Duniani

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa akili ya kawaida neno 'ombaomba' ukilisikia kwa mara ya kwanza utapata picha ya mtu asiye nadhifu (mchafu), aliyevaa nguo chakavu na nywele zisizoeleweka.

Hata hivyo, kuna baadhi ya watu ambao wameigeuza taaluma ya kuomba kuwa yenye faida kubwa.

Bharat Jain anafahamika kila kona ya dunia kama ndiye ombaomba tajiri zaidi duniani, na ambaye maskani yake ya kazi yapo jijini Mumbai nchini India.

Hivi tunavyoongea Bharat anamiliki maghorofa mawili makubwa na maduka ya bidhaa mbalimbali ndani ya jiji la Mumbai.

Pamoja na utajiri alionao, Bharat bado anaendelea kuomba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live