Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Huyu ndio modo mzee kuliko wote Duniani, ana miaka 92

Mlimbwende Mkongwe Huyu ndio modo mzee kuliko wote Duniani, ana miaka 92

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anaitwa Carmen Dell'Orefice anajulikana kama mwanamitindo mkongwe zaidi katika tasnia ya mitindo.

Anaitwa Carmen Dell'Orefice anajulikana kama mwanamitindo mkongwe zaidi katika tasnia ya mitindo. Aligunduliwa alipokuwa ndani ya usafiri wa basi akiwa na umri wa miaka 13 tu, na bado anafanya kazi hadi leo hii, akiwa na umri wa miaka 92.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live