Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Staa anaetumia Bilioni 7 kwa watoto wake

Nick Cannon 05 780x470 Nick Canon na baadhi ya watoto wake

Thu, 17 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa mwenye vipaji lukuki, Nick Cannon ameanika wazi kwamba hutumia zaidi ya ($3 million) zaidi ya TSh. Bilioni 7 kwa mwaka ajili ya matunzo ya watoto wake yaani Child support.

Staa mwenye vipaji lukuki, Nick Cannon ameanika wazi kwamba hutumia zaidi ya ($3 million) zaidi ya TSh. Bilioni 7 kwa mwaka ajili ya matunzo ya watoto wake yaani Child support. Cannon ambaye anatarajia mtoto wa 12 hivi karibuni, alifunguka hayo kwenye mahojiano yake na The Neighborhood Talk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live