Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Msanii maarufu zaidi Ulimwenguni

The Weeknd The Weeknd

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Guinness World Records wamemtaja mwimbaji The Weeknd kuwa kwa sasa ndiye msanii maarufu zaidi duniani (Most Popular Artist on The Planet)

Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33, ameweka rekodi kubwa mbili kwenye Kitabu hicho cha Kumbukumbu na matukio ya dunia, ambapo amefikisha Jumla ya Monthly Listeners (million 111.4) kwenye Spotify hadi kufikia March 20, 2023.

Vile vile amekuwa msanii wa kwanza kufikisha Monthly Listeners (million 100) kwenye mtandao huo. Weeknd amemuacha Miley Cyrus akiwa na idadi ya wasikilizaji wa mwezi (82.4 million)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live