Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Huyu ndi mtu alietoga zaidi Duniani

Rolf Buchholz Record Rolf Buchholz

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja raia wa Ujerumani ameingia kwenye rekodi ya dunia ya Guiness (Guiness World Records) kwa kutoga mara nyingi zaidi.

Rolf Buchholz ametoga mara 519 sehemu mbalimbali za mwili wake mbali na kujiongeza pembe na 'tattoo'.

Buchholz aliwahi kusema “Watu wengi hufikiri mimi ni shetani, lakini siamini kuwa mimi ndiye.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live