Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu ndio mwonekano wa Ofisi ya Kim Kardashian (+Video)

Kim Kardashian 011724 1 F3a76be4e7b444628b697fb96e235147 Huu ndio mwonekano wa Ofisi ya Kim Kardashian

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ameonesha sehemu mbalimbali za ofisi yake, ambapo moja ya kitu anachokithamani ni mdoli (mannequin) aliyetengenezwa kwa vipimo vyake.

Ofisi hiyo pia inatoa huduma za kipekee kama vile kitanda (Tanning bed), sehemu ya product zake, ukuta wa Tv unaoonesha matukio yake mbalimbali ya urembo na ukuta uliobandikwa ‘kava’ za magazine.

Kitanda cha kuoka (Tanning bed) hutoa mionzi ya ‘ultraviolet’ ili kufanya ngozi kuwa nyeusi’, kuyeyusha mafuta mwilini na matumizi mengine.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live