Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu hapa ujumbe maalum wa Harmonize kwa Kajala

TUMIA YA HARMO NA KAJALA Huu hapa ujumbe maalum wa Harmonize kwa Kajala

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapenzi yapo kwenye levo ya hali ya juu! Unaambiwa Harmonize sasa hivi yupo kwenye kilele cha kupendana na Kajala na kila uchwao anakuja na jambo jipya linalowahusu. Siku ya jana alitupia picha mbalimbali zinazomuonesha akiwa kwenye hifadhi ya Serengeti na kusindikiza na ujumbe uliosomeka kuwa anaisubiri bethidei ya Kajala kwa hamu.

“Waiting 4 Her Birthday Like,” aliandika Harmonize.

Sasa leo, Julai 21, 2022 Harmonize ameibuka tena na kushusha ujumbe maalum kuelekea siku hiyo ya kuzaliwa ya Kajala ambayo ni kesho Julai 22.

“Thanks 4 Changing My Life Baby You Have Made Me a Reall Sports man ???? Now Kile Kitambi Vp Lol ???? Love You REALL ONE ❤️ Happy Birthday in Advance WIFE Happy (39) My Love @kajalafrida More & More Coming FOREVER YOUNG ????????????️♀️ NDO HIVYO TENA HAZEHEKI,” aliandika ujumbe huo chini ya video yake na Kajala wakiwa gym wakifanya mazoezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live