Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hukumu ya Rapa Tory Lanes yapigwa kalenda

Tory Lanez.jpeg Hukumu ya Rapa Tory Lanes yapigwa kalenda

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hukumu ya Rapa Tory Lanez imesogezwa mbele hadi Agosti 7 kutoka Agosti 1,2023.

Hii ni baada ya Wakili wake kuomba mahakama kuahirisha hukumu ya rapa huyo na Jaji David Herriford amekubali kuisogeza mbele.

Rapa huyo anakabiliwa na kifungo cha zaidi ya miaka 22 lakini waendesha mashtaka wamependekeza kifungo cha miaka 13 jela baada ya kukutwa na hatia katika mashtaka matatu ya uhalifu Disemba,2022 kwa kumpiga risasi Megani Thee Stallion, mnamo Julai 12,2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live