Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huddah Monroe ahofia kunasa mimba

3934 27891014 297513377439164 2088048876945670144 N TZW

Mon, 5 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanamitandao kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe ameanza kujawa na hofu ya kuwa amenasa mimba.



Wasiwasi wa mrembo huyo umekuja baada ya kujiona kila akifanya manunuzi basi lazima atamani anunue nguo za mtoto.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat mrembo huyo ameweka bayana hofu yake ya kushika mimba huku akijutia kitendo chake cha kuvunja amri ya sita na  pasipo kutumia kinga.



Chanzo: bongo5.com