Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huddah: Inawezekana kupenda wanaume watatu kwa mpigo

Huddah 23.jpeg Mwanamitindo Huddah Monroe

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huddah Monroe; ni video vixen na mwanamitandao maarufu nchini Kenya ambaye amekuwa akivuma mitandaoni kwa kuuza bidhaa za kuwasaidia wanawake.

Huddah anafahamika kutokana na jumbe zake mitandaoni ambazo zimekuwa za kukejeli wanaume Wakenya kwa kusema kwamba hawajui mapenzi.

Huddah anasema kwamba inawezekana kwa mwanamke kupenda wanaume au wanawake watatu kwa wakati mmoja, lakini kwa madhumuni tofauti.

Mrembo huyo amewashambulia wanaume ambao wanadhani kuwa mwanamke hawezi kumpenda mwanaume mwingine kwa sababu anampenda.

“Lol! Baadhi ya wanaume wanadhani kwa maana unawapenda huwezi kupenda mwanaume mwingine au umekata tama. Inawezekana kupenda wanaume 3 au wanawake kwa wakati mmoja kwa madhumuni tofauti,” anasema Huddah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live