Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi ndio Top 10 videos zilizotajwa na Trace Muziki toka Tanzania

1727 Screen Shot 2018 01 22 At 12.47.13 PM.png

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

 TRACE TV  ni TV station ambayo inatazamwa sana na inasifika kwa kucheza Muziki mzuri kutokea Afrika Ayo Tv na millardayo.com inakusogezea list ya video kumi ambazo zimefanya vizuri January 22, 2018 kupitia Channel ya Trace Mziki.

Na hizi ndio Top 10 videos zilizotajwa na Trace Muziki.

10. Touch – queendarleen_

9. Bounce – @vanessamdee ft. @mauasama & Tommy Flavour

8. 911 – Krisbeatz ft. @yemialade & @harmonize_tz

7. DOW – @rosa_ree

6. KABABAYE – @chinbees

5. MAUMIVU PER DAY – @officialalikiba

4. PAMBE – @bellachristian1

3. WAKA – @diamondplatnumz ft. @richforever

2. KICHAKA – @saidakarolitz ft. @belle9tz & @gnakowarawara

1. MAKULUSA – @rayvanny ft. @djmaphorisa



Vanessa baada ya kujitokeza kuuza CD za Album yake Mlimani City

Chanzo: millardayo.com