Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi hapa albamu anazopenda kuzisikiliza Davido

Hizi Hapa Albamu Anazopenda Kuzisikiliza Davido Hizi hapa albamu anazopenda kuzisikiliza Davido

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Afro Beat kutoka nchini Nigeria, Davido ameweka wazi albamu zake bora siku zote na anazopenda kuzisikiliza mara kwa mara.

Msanii wa Afro Beat kutoka nchini Nigeria, Davido ameweka wazi albamu zake bora siku zote na anazopenda kuzisikiliza mara kwa mara. Davido ametaja albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Usher ya ‘Confession’ ya pili ikiwa ni ya ‘rapa’ 50 Cent ya ‘Get Rich or Die Tryn’ na ya mwisho ni yake mwenyewe ya ‘Timeless’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live