Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo Idris Sultan alivyomkumbuka EX wake

1526 Screen Shot 2018 01 18 At 4.03.44 PM 568x400.png TZW

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini  Afrika Kusini.

Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi  “The beauty & the beast… Happiest birthday to the beast

Chanzo: millardayo.com