Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hilda Baci: Nitabaki kuwa mmiliki wa rekodi

Hilda Baci (1).png Hilda Baci: Nitabaki kuwa mmiliki wa rekodi

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa zimepita siku chache tangu ‘rekodi’ ya mpishi maarufu kutoka Nigeria, Hilda Baci kuvunjwa amedai kuwa kwenye roho yake na historia atabaki kuwa mmiliki wa rekodi hiyo ya dunia ya Guinnes.

Kupitia ukurasa wake wa X Hilda ameandika kuwa “Ninabaki kuwa mmiliki wa ‘rekodi’ ya dunia ya Guiness katika roho na historia”

Rekodi hiyo ya dunia ya Guiness kwenye mashindano ya kupika kwa muda mrefu zaidi ilivyunjwa na #AlanFisher kutoka #Ireland kwa kupika saa 199 na dakika 57.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live